
Huduma kwa wateja (good customer service)



Course introduction
Kazi ya msingi kuhusu masoko ni kutangaza biashara yako kati ya watu wanaoweza kuwa wateja wako na kuwavutia wanunue bidhaa na huduma zako kuliko zile za washindani wako. Mbinu za masoko hukusaidia kutambua ni nani hasa wanaweza kuwa wateja wako, kujua wanapendelea nini, ni nini kinashawishi uamuzi wao wa kununua na jinsi ya kuwavutia kwenye biashara yako.
Course objectives
Kozi hii itakutambulisha kwenye baadhi ya mikakati muhimu ya kukusaidia kuwavutia na kudumu na wateja wako. Hili ni jambo la muhimu kabisa kwa mafanikio ya biashara yako!
Skills developed
Course modules
Be a true friend
You probably know people who are looking for employment and would be keen to learn these skills. Be a true friend and share with them!


Comments (3)
Register or log in to be able to take the course, discuss about it and like it.

EGESSA | October 26, 2020 08:52
I T IS A VERY GOOD COURSE,Kndly help me how do i get enrolled to begin that course, i will be very grateful to hear positive response from your office,iam ROBERT.
LORO | August 28, 2019 10:03
good