
Premium course
Jinsi ya kupata kazi (applying for jobs)


Free

Course introduction
Je, umekuwa ukitafuta kazi kwa muda? Chukua fursa hii kufikiria kuhusu chaguo lako la kazi (wataka kufanya kazi ipi?), hata kama unafikiri hakuna kazi zilizopo. Sote lazima tutaanzia mahali , iwapo bila mshahara mkubwa. Unahitaji kuhakikisha kuwa CV yako inaonyesha utaalamu wako, shule ulizosomea na kazi nyingine ambazo umefanya. Kuna njia nyingi za kutafuta kazi. Tazama video kwenye somo hili ili ujifunze jinsi unavyoweza kujitafutia kazi.
Course objectives
Kufikia mwisho wa kozi hii utaweza:
- Kutambua maeneo ya kutafuta nafasi za kazi
- Kueleza utaalamu wako
- Kuelewa mitindo safi ya kutafuta kazi na makosa ambayo watu wengi hufanya
Skills developed
Communication Beginner
Job descriptions and ads Beginner
Interviewing Beginner
Course modules
Module 1
Jinsi ya kusaka kaziBe a true friend
You probably know people who are looking for employment and would be keen to learn these skills. Be a true friend and share with them!


Comments (2)
Register or log in to be able to take the course, discuss about it and like it.

ABUYI | October 04, 2020 17:35
Good to stay with work
Korir | May 28, 2018 15:50
truely that is inspiring for good motives in job search