Premium course

Kutumia mkopa vyema (borrowing wisely)

9 likes
2 comments
Free
Start course
Display eba69008 e0c9 4fae 826b 2cc5f459355d

Course introduction

Sifa za kukopesheka ni nambari ya makadirio ambayo wakopeshaji au wauzaji hutumia kukadiria uwezekano wako wa kulipa  mkopo au deni, kwa kuangalia tabia yako ya huko nyuma. Jinsi sifa zako za ukopeshaji inavyozidi kuwa kubwa zaidi, ndivyo uwezekano wako wa kukopeshwa unavyoongezeka kwenye macho ya wakopeshaji wa kiamini utalipa fedha utakazodaiwa. Hiki ndicho kiashiria kikuu kwa mabenki chenye kuathiri uamuzi wao kuhusu kukukopesha fedha.

Katika kozi hii utajifunza jinsi ya kuepuka makosa ya kawaida ambayo huwakabili watu wengi wanaotaka kukopa kw ajili ya biashara. 

Course objectives

Kufikia mwisho wa kozi hii, utaweza kukopa kwa ujasiri huku ukiepuka makosa ambayo watu wengi hufanya wanapokopa, yanayowafanya wasiwezi kulipa deni.

 

Skills developed

 • Entrepreneurship   Beginner
 • Economics and business   Beginner
 • Decision making   Beginner
 • Course modules

  Module 1
  Kukopa kwa hekima

  Be a true friend

  You probably know people who are looking for employment and would be keen to learn these skills. Be a true friend and share with them!

    Share on Facebook  Share on WhatsApp

  Comments (2)

  Qscozjg7vammpupw8b0x

  Fredrick Paul | January 10, 2018 21:23

  Your commentsl l hope by having the skills learnt is hall be able to becomean enterprenuer


  Register or log in to be able to take the course, discuss about it and like it.